Ahadi Tamu | Sweet Promise | SDA CAMP Meeting Music | SDA Hymns Songs and Music | Nyimbo za Kristo

1.7K views13Sep 26, 2025Watch on YouTube
adventist sermonsevangelismspiritual growthSDA Camp meetinglavington sda churchcentral sda churchnairobi sda churchnyimbo za kristo

[Verse 1] Ahadi tamu kwa waamini, Tazama nakuja upesi sana. Uwe imara, hatari kubwa: Ndugu usilale, bali ukeshe. [Chorus] Uihifadhi imani yako,--Dunia mpya itatolewa Njoo ingia furaha yangu; Taji zinangoja; Uwe imara. [Verse 2] Tutakesha na kutoa sala; Atakuja kama mwivi kwa wengi; Ya kwamba yu karibu twajua, Ila hatujui ni siku gani. [Verse 3] Tunategemea Neno lake, Ambalo latangaza kuja kwake, Tumaini letu ni ahadi: "naja karibuni, uwe imara."